KOCHA mkuu wa Yanga Miguel Gamondi, amesema kuwa lengo kuu kwa upande wake ni kufuzu hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa wa CAF kwa kuongoza kundi lao.
Gamondi alitoa kauli hiyo baada ya kujua wapinzani wao wa mechi za...
KLABU YA YANGA inaendelea kushusha vyuma na safari hii imetua kwa beki wa kati raia wa Kenya, Anitha Adongo kwa ajili ya msimu ujao.
Hadi sasa Yanga Princess inayoshiriki Ligi ya Wanawake (WPL) inahusishwa kumalizana na wachezaji wanne wa kigeni...
JAMBO Hili linaweza kuwa habari njema kwa Yanga baada ya wapinzani wao kwenye hatua ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Vital’O FC kuzuiwa kutumia uwanja wao wa nyumbani wa Intwali uliopo Bujumbura, Burundi.
Ukaguzi uliofanywa na Shirikisho la Mpira...
UONGOZI wa Simba umefikia makubaliano ya kumwajiri Uwayezu Francois Regis raia wa Rwanda kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa klabu hiyo, ili achukue nafasi ya Imani Kajula anayejiandaa kumaliza mkataba mwezi ujao.
Kajula ambaye ni mzoefu katika uongozi wa mpira, akiwamo...
Rais na Mwenyekiti wa Bodi ya Simba, Mohammed MO Dewji amekutana na kufanya mazungumzo na Simba Executive Network (SEN).
SEN ni mtandao wa mashabiki wa Simba ambao huchangia ada ya 1,500,000 kwa mwaka kwa ajili ya miradi maalumu ya miundombinu...
KIUNGO mkabaji mpya wa Simba, Mnigeria Augustine Okejepha amesema amefurahishwa na maandalizi ya timu hiyo yanayoendelea kambini, Ismailia Misri, huku akiweka wazi kila mchezaji kwa sasa anaonyesha anataka kukipambania kikosi hicho msimu ujao.
Nyota huyo aliyejiunga na Simba akitokea Rivers...
Kila binadamu huwa na ndoto zake lakini sio kazi rahisi kuifikia ndoto unayoiota kila siku, kutana na Kijana wa Kitanga "The Kingi of CCM Kirumba" Wazir Junior jinsi ambavyo aliwahi kupata uchungu uliomfanya aweke nadhiri kwa Mungu.
Wazir Junior anasema...
MASHABIKI wana Presha kuhusu usajili wa Mastaa kibao kwenye kikosi chao, haswa ule utatu pacha uliopewa jina la CPA, kwa maana ya Chama, Pacome na Aziz Ki hata hivyo, tofauti na presha za mashabiki, kwa Miguel Gamondi mambo ni...
Kabla ya kuikabili Kaizer Chiefs katika mchezo wa Toyota Cup utakaopigwa Julai 28, Wananchi Yanga watakuwa Afrika Kusini mapema kushiriki michuano mingine waliyoalikwa, Mpumalanga Premier International Cup.
Kulingana na ratiba ya michuano hiyo ambayo itarushwa mbashara na kituo cha televisheni...
AHMED ALLY Afunguka msimamo wa Simba Baada ya droo ya michuano kombe la Shirikisho Afrika kupangwa, uongozi wa klabu ya Simba umesema umepokea kwa furaha ratiba ya michuano hiyo kwa kuwa wanaenda kukutana ma timu ambazo zipo chini yao...








