BEKI Kisiki wa Simba, Pascal Wawa amesema kuwa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu ina ushindani mkubwa jambo ambalo linawafanya wapasue kichwa kusaka matokeo ndani ya uwanja.Simba ikiwa imecheza mechi 28 imefungwa mabao 15 ambayo ni machache kwa msimu...
LIGI Kuu ya England imesimamishwa kuanzia leo Machi 13 kwa muda wiki mbili inatarajiwa kurejea Aprili 3 kutokana na mlipuko wa Virusi vya Corona.Hatua hii imefikia baada ya Kocha Mkuu wa Arsenal, Mikel Arteta kungundulika na Virusi hivyo baada...
UONGOZI wa Polisi Tanzania umesema kuwa bado una kazi kubwa ya kufanya ndani ya Ligi Kuu ili kutimiza malengo waliyojiwekea msimu huu.Polisi Tanzania ipo chini ya Kocha Mkuu, Malale Hamsini aliyechukua mikoba ya Seleman Matola ambaye kwa sasa yupo...
PAPY Tshishimbi, nahodha wa Yanga amesema kuwa walitumia nguvu nyingi kupambana na Simba jambo lililowafanya washindwe kusepa na pointi tatu mbele ya KMC.Yanga jana Machi 12 ilipoteza kwa kufungwa bao 1-0 na KMC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara...
Na Saleh AllyUSIKU wa kuamkia jana imetangazwa kuwa beki wa klabu kigogo ya Italia, Juventus amebainika kuwa anaugua ugonjwa wa Covid-19 maarufu kama Corona.Huyu ni Daniele Rugani ambaye ana umri wa miaka 25. Bado hakujawa na kila kitu hadharani...
NA SALEH ALLYAWALI ilikuwa ni dalili lakini sasa tunaweza kusema uthibitisho umebaki ni kufungua mdomo tu lakini kila kitu sasa kipo wazi.Uwazi huo ni kwamba Singida United inateremka daraja kwa kuwa hali ilivyo, hakuna ubishi tena na juzi umeona,...
ODION Ighalo nyota mpya wa Manchester United amezidi kuimarika ndani ya kikosi hicho baada ya kuonyesha kiwango bora kwenye mchezo wa Europa League wakati wakiwambamiza wapinzani wao LASK mabao 5-0.Mchezo huo uliochezwa bila mashabiki kutokana na mlipuko wa Corona...
ARSTICA Cioaba,raia wa Romania, Kocha Mkuu wa Azam FC  ametozwa faini ya kiasi cha shilingi laki tano (500,000) kwa kosa la kugoma kuongea na waandishi wa habari mara baada ya mchezo kukamilika.Kwenye mchezo kati ya Azam FC na Simba...
KIKOSI cha Simba kikiwa kimecheza mechi 28 kimebakiza mechi 10 kukamilisha mzunguko wa pili.Mechi zake 10 zilizobaki watakutana na wapinzani hawa:-Simba v Ruvu ShootingSimba v MwaduiMbeya City v SimbaTz prisons v SimbaNdanda v SimbaNamungo v SimbaSimba v MbaoSimba v...
KOCHA Mkuu wa Arsenal, Mikel Arteta na kiungo wa timu ya Chelsea, Callum Hudson-Odoi wote wamegundulika na Virusi vya Corona baada ya kufanya vipimo.Arteta mwenye miaka 37 amekuwa mgonjwa wa kwanza kuthibitishwa amekumbwa na Corona ndani ya Ligi Kuu...