MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumatatu
INAELEZWA beki wa kati wa Yanga, Abdallah Shaibu ‘Ninja’ anatakiwa na moja kati ya timu zinazoshirikiLigi Kuu ya Zambia lakini amepatwa na kigugumzi kufuatia viongozi wa timu hiyo kumtaka kwanza atulie.Beki huyo amemaliza mkataba na timu hiyo baada ya...
Mkali wa filamu za Kibongo, Charles Magali ameibuka na kuweka wazi siri aliyokuwa ameificha toka utotoni na kudai kuwa aliwahi kumuwekea mwalimu wake upupu kwenye kiti chake.Akizungumza na Ijumaa Wikienda, Mzee Magali alisema katika maisha yake alikuwa mbabe tangu...
STRAIKA anayepambana kwa udi na uvumba arudishwe Yanga, Obrey Chirwa juzi Jumamosi aliipa Azam tiketi ya kushiriki Kombe la Shirikisho Afrika.Chirwa amewaambia marafiki zake kwamba ana hamu sana ya kurudi Yanga lakini Spoti Xtra linajua kwamba Mwinyi Zahera amewaambia...
KIUNGO mshambuliaji wa timu ya Simba, Said Ndemla amesema kuwa anahitaji kupata changamoto mpya msimu ujao hivyo kwa sasa anafikiria kwenda kucheza nje ya nchi msimu ujao ikishindikana atasaini hata Yanga.Ndemla msimu uliopita amekuwa na changamoto ya kupata namba...
Rais wa Shirikisho la Soka barani Afrika CAF, Ahmad Ahmad ameitisha kikao cha dharura cha Kamati ya Utendaji ya shirikisho hilo kufuatia sintofahamu katika mchezo wa pili wa fainali ya Klabu Bingwa Afrika. Mei 31 nchini Tunisia kati ya wenyeji...
KOCHA wa Lipuli, Seleman Matola amesema kuwa kilichowaponza wakapoteza mchezo wao wa fainali mbele ya Azam FC jana uwanja wa Ilulu ni kushindwa kutumia nafasi ambazo walizipata kwenye mchezo huo uliokuwa na ushindani mkubwa.Lipuli ilikubali kupoteza dakika ya 64...
IMEELEZWA kuwa mlinda mlango namba moja wa kikosi cha Yanga, Klaus Kindoki anawindwa na klabu ya Singida United ili kuongeza nguvu upande wa ulinzi msimu ujao.Kindoki raia wa Congo hajawa na msimu mzuri kwenye kikosi hicho kutokana na kufanya...