KLABU ya Simba imesema kwa sasa viongozi wake wa ngazi ya juu wamekuwa na vikao kila siku kwa ajili ya usajili na kupanga mikakati kabambe kwa ajili ya msimu ujao, huku ikithibitisha rasmi kuwa imembakisha Kocha Mkuu, Fadlu Davids...
Mwaka uliopita, Chama cha Umoja wa Vilabu Afrika (ACA) chini ya uongozi wa Eng. Hersi Said, kilifanikiwa kushawishi CAF kutoa dola 50,000 kwa kila klabu iliyoshiriki Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF CL) na Kombe la Shirikisho (CAF CC) katika...
Nyingine tena kutoka kwa wakali wa michezo ya Ubashiri nchini. Meridianbet wanaonyesha kuwa wao ni zaidi ya burudani kwa kuja na promosheni kali kupita kawaida. Kupitia mchezo maarufu wa kasino mtandaoni wa Super Heli, sasa unaweza kujishindia simu mpya...
Kama unapenda michezo ya kasino mtandaoni au unataka kuijaribu kwa mara ya kwanza, huu hapa ni mchongo wa mwezi: kuwa rubani wa maisha yako kupitia mchezo wa Aviator kutoka Meridianbet.
Kuanzia Julai 1 hadi mwisho wa mwezi, Meridianbet wana promosheni...
Meridianbet imeleta mashindano ya Playson Short Races ambayo yanakupa nafasi ya kushinda mamilioni ya pesa. Hii ni moja ya fursa kubwa sana ya kukupatia maokoto ya maana huku washindi wakifurahia promosheni hii.
Playson Short Races ni mashindano ya kila siku...
SIMBA SC katika anga la kimataifa msimu wa 2024/25 imegotea nafasi ya pili kwa kupoteza mchezo wa fainali dhidi ya RS Berkane ya Morocco.
Katika dakika 180, Simba SC ilifungwa jumla ya mabao 3-1, bao la kufutia machozi kwa Simba...
INAELEZWA kuwa winga chaguo la kwanza la Kocha Mkuu, Fadlu Davids ndani ya kikosi cha Simba SC, Ellie Mpanzu yupo kwenye rada za RS Berkane,Waarabu wa Morocco.
Mpanzu ni miongoni mwa wachezaji waliokuwa tegemeo katika kikosi cha Simba SC msimu...
AIR Manula amerejea ndani ya kikosi cha Azam FC akitokea kwa waajiri wake Simba SC akiwa mchezaji huru. Mkataba wa Air Manula na Simba SC ilikuwa mpaka 2025 tayari umegota mwisho.
Kwa msimu wa 2025/26 atakuwa ndani ya Azam FC,...
KIKOSI cha Timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars Julai 08 2025 kiliingia kambini Dar es Salaam kisha alfajiri ya kuamkia Julai 9 kimekwea pipa kuelekea nchini Misri kwa ajili ya kambi ya wiki tatu.
Hivyo kuelekea CHAN mambo ni...
HUENDA hii isiwe taarifa nzuri kwa mashabiki wa Yanga ambao walikuwa wakianza kuchekelea chinichini baada ya kuwahabarisha juu ya dili la straika wa ASEC Mimosas na MVP wa Ligi Kuu ya Ivory Coast (Ligue 1), Celestin Ecua lililobaki hatua...