Meridianbet inakuletea promosheni ya kipekee ya Expanse Tournament, shindano la kusisimua la michezo ya sloti linalofanyika kuanzia tarehe 08 Julai hadi 22 Julai 2025. Katika kipindi hiki, wachezaji watakaokua nafasi za juu watapata zawadi mbalimbali, ikiwemo pesa taslimu na...
MAISHA yanaenda kasi sana unaambiwa, kwani kuna mambo nyakati flani msimu uliopita usingeweza kufikiria iwapo yangeibuka sasa na kutibua mioyo ya mashabiki wa Simba na hata viongozi.
Wakati msimu wa 2024/25 unaanza Simba haikuwa na malengo makubwa, ikitembea na kauli...
Je unajua kuwa Jumanne ya leo unaweza ukajipatia bonasi ya kibabe ndani ya Meridianbet kwenye mtanange huu wa Nusu Fainali ya Kombe la Dunia kati ya Fluminense vs Chelsea. Bashiri kwa GG&3+ na upate bonasi ya uhakika hapa.
Kila timu...
MEZANI kwa mabosi wa Yanga kwa sasa kuna majina mawili ya makocha wanaopigiwa hesabu, mmoja aje kuinoa timu hiyo kuziba nafasi ya Miloudi Hamdi aliyetua Ismailia ya Misri, lakini kuna jambo linaloweza kuwa na faida kwa klabu hiyo mara...
PALE Jangwani mambo ni moto! Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara wako mawindoni wakikamilisha kamilisha ishu zao za usajili kwa ajili ya msimu ujao wa mashindano, ambapo wameapa kwamba wanataka kuanzia walipoishia hapa nchini kwa kukomba kila kitu, lakini...
Kampuni namba moja ya ubashiri nchini Tanzania, Meridianbet, inawakaribisha wapenzi wa michezo ya kasino mtandaoni kwenye Lucky Rush Tournament, mchezo wa kipekee ambapo jumla ya TZS bilioni 1.5 zinagawiwa kwa washindi. Kuanzia tarehe 27 Juni hadi 3 Agosti 2025,...
Meridianbet inakukaribisha kwenye promosheni ya kipekee ya Wild White Whale kwa mwezi wa Julai 2025. Kuanzia tarehe 1 hadi 31 Julai, wachezaji wana fursa ya kupata spin 50 za bure kila siku kwa kukamilisha spin 100 kwenye mchezo huu...
SIMBA imemaliza msimu wa nne mfululizo bila ubingwa wa Ligi Kuu Bara wala Kombe la Shirikisho (FA), jambo lililowakata stimu kuanzia viongozi, wachezaji, mashabiki, wapenzi na wanachama wa klabu hiyo, lakini kuna akili moja ameitoa kocha wa zamani wa...
MABOSI wa Yanga wakishirikiana na benchi la ufundi la klabu hiyo, wameanza kupiga hesabu la kufyeka mastaa sita wa timu hiyo, wakiwamo wazawa watano na mmoja wa kigeni, huku kiungo mshambuliaji, Clatous Chama ikielezwa amewagawa mabosi hao juu ya...
Kampuni inayoongoza kwa michezo ya ubashiri nchini Tanzania, Meridianbet, imezindua promosheni kabambe kwa wateja wake wote. Kupitia mchezo unaopendwa sana wa Aviator, sasa wachezaji wote wana nafasi ya kipekee kujishindia simu mpya kabisa aina ya Samsung A25, kwa kushiriki...