Uncategorized

SHANGWE ZA SIMBA KUANZIA KIBAHA LEO

admin May 29, 2019 7:24 am

BAADA ya kutwaa ubingwa jana, mabingwa wa Ligi Kuu Bara Simba leo wanarejea makao makuu ya klabu Msimbazi kuendeleza sherehe za ubingwa.

Sherehe za ubingwa zitaanzia maeneo ya Kibaha, mkoani Pwani majira ya saa 5:30 ambapo wachezaji pamoja na kombe watapanda gari la wazi kuwaonyesha kombe mashabiki wao.

Mchezo wao wa mwisho jana walikubali suluhu mbele ya Mtibwa Sugar mchezo uliochezwa uwanja wa Jamhuri, Morogoro.

Mechi yetu na Azam FC ilikuwa ya kirafiki- Zahera HAWA HAPA WACHEZAJI PASUA KICHWA KWA ZAHERA WA YANGA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply