Uncategorized

BEKI MWENYE MIAKA 32 TOKA IVORY COAST AHUSHISHWA KUMALIZANA NA SIMBA, WAKALA WAKE AFUNGUKA

admin June 2, 2019 8:14 am


Imeelezwa  kuwa beki wa kati anayekipiga katika klabu ya Es Metlaoui ya Tunisia, Ange Bares ameingia katika rada za kusajiliwa na Simba.

Beki huyo mwenye umri wa miaka 32 na raia wa Ivor Coast ameingia kwenye rada hizo ikiwa ni moja ya mapendekezo ambayo Kocha Patrick Aussems aliyataka ya kuhitaji beki mmoja katika nafasi hiyo.

Taarifa zinasema beki huyo aliwahi kuvichezea vilabu vya Horoya Athletic ya Guinea na Asec Mimosas ya Ivory Coast.

Imeelzwa kuwa wakala wake Patrick Gakumba ambaye amemalizana na bodi ya wakurungezi ya klabu ya Simba kumleta beki huyo ili achukue nafasi ya Juuko Murshid anayeondoka Simba.

TIMU SAMATTA, KIBA HAPATOSHI LEO TAIFA DUH ORIGI MCHAWI WA MABAO YA USIKU KAMA KAWAIDA, SASA AFIKISHA LA NNE NA KOMBE JUU

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply