Home Uncategorized PLAYOFF NGOMA NI NZITO, SASA MECHI ZA MWISHO KUAMUA

PLAYOFF NGOMA NI NZITO, SASA MECHI ZA MWISHO KUAMUA


Mechi zote za leo za Playoff zimekamilika kwa timu zoe kutoshana nguvu huku wote wakitamba kupata matokeo mchezo wa mwisho utakaochezwa Juni 8 mwaka huu.

Mechi za mwisho ndizo ziakazoamua timu ambayo itapanda daraja ama kubaki kwenye ligi kati ya Mwadui ama Kagera kubaki TPL ama Geita na Pamba kupanda msimu ujao.

FT: Pamba SC 0-0 Kagera Sugar, uwanja wa Nyamagana Pamba walikuwa wenyeji.

FT: Geita Gold FC 0-0 Mwadui FC, uwanja wa Nyankumbu Girls ambao Geita walikuwa wenyeji.

SOMA NA HII  SIMBA KUMVUTA KIPA MRUNDI ILI KUMPA CHANGAMOTO MANULA