Home Uncategorized JERO TU UTAONA MECHI KALI YA LEO, MZUMBE VIJANA CUP, TEGETA

JERO TU UTAONA MECHI KALI YA LEO, MZUMBE VIJANA CUP, TEGETA


LIGI ya Mzumbe Vijana Cup inazidi kukata mbunga ambapo leo majira ya saa 10:00 uwanja wa Sekondari Tegeta itaipigwa bonge moja ya mechi.

Ligi hiyo  kwa sasa ipo hatua ya 16 bora na kila timu imepania kuibuka na ushindi ili kupenya kwenye ligi hii ambayo wajanja wengi wameikubali.

Leo ni mchezo kati ya Nyatunyatu FC dhidi ya Bondeni FC na uchakavu mdogo tu wa mfuko shilingi mia tano tu.

SOMA NA HII  YANGA NI BALAA, YAIKIMBIZA SIMBA NA AZAM KINOMA