Tunaendelea kujaza wachezaji ambao wanajiunga/kuongeza mikataba katika vilabu vya Ligi Kuu kwa msimu wa Ligi Kuu 2019/20. Hii ni kwa mujibu wa taarifa tunazozipata kupitia klabu husika tu.
# | Mchezaji | Timu | Nafasi |
---|---|---|---|
1 | Aishi Manula | – | Golikipa |
2 | Bigirimana Blaise | Namungo FC | Kiungo |
3 | John R. Bocco | – | Mshambuliaji |
4 | Mwadini Ali | – | Golikipa |
*Angalizo: Tutajaza tena majina rasmi baada ya bodi ya ligi kutoa majina ya mwisho, endelea kupitia hapa
The post Wachezaji waliokamilisha usajili Ligi Kuu 2019/20 appeared first on Kandanda.