MCHEZAJI wa Singida United, Keneddy Juma ”mwili jumba’ leo ametangazwa kujiunga na kikosi cha Simba kwa kandarasi ya miaka miwili.
Juma anakuwa mchezaji wa pili kwa Simba kupewa mkataba mpya baada ya mlinda mlango Beno Kakolanya kusaini kandarasi ya miaka miwili ndani ya Simba.