UNAAMBIWA Yanga si ya mchezomchezo kwani hawataki kabisa utani, mpaka sasa tayari wamemalizana na majembe makali tisa ambayo ni chaguo la Kocha Mkuu, Mwinyi Zahera.
Majembe mapya 8 ambayo tayari yana uhakika wa kuvaa jezi za njano msimu ujao yataungana na kiungo fundi ambaye ameongeza mkataba na kufanya idaida yao igote namba 9 ni pamoja na:-
Patrick Sibomana ametoka Rwanda
Lamine Moro, ametoka Ghana
Issa Bigirimana ametoka Rwanda
Maybin Kalego ametoka Zambia
Mustapha Suleiman ametoka Burundi
Juma Balinyi ametoka Uganda
Sadney Urikhob ametokaa Namibia
Abdulaziz Makame ametoka visiwani Zanzibar
Papy Tshishimbi ameongeza mkataba wa miaka miwili yeye anatokea Congo.
Sign in
Welcome! Log into your account
Forgot your password? Get help
Password recovery
Recover your password
A password will be e-mailed to you.