Uncategorized

Alichokisema Amunike leo.

admin June 25, 2019 2:45 pm

Tumekutafsria hapa kwa mujibu wa video hiyo hapo juu.


Tunacheza dhidi ya Kenya, ni nafasi yetu nzuri. Timu zote mbili zinatokea Afrika Mashariki, na Kenya ni jirani yetu, tupende au tusipende wote tunaongea lugha moja, Kiswahili. Hivyo hakuna kitu cha kuficha kati yetu uwanjani.


Lakini muhimu ni kuona jinsi tunavyoweza kuwaweka pamoja wachezaji wachezaji wetu.
Tuliona katika mechi dhidi ya Senegal kulikuwa na uzembe mwingi, lakini huwezi kuwalaumu kwa hilo sababu hii ni mechi kubwa kwao katika mashindano makubwa.

Kitu muhimu ni kuona vile tunaweza kuwajenga na kuwapa motisha ya kiakili na kimwili kuhusiana na mechi.

Viwango vya wachezaji havina wasiwasi, tuna wachezaji wazuri tu.

The post Alichokisema Amunike leo. appeared first on Kandanda.

VIDEO MPYA: DIAMOND PLATNUMZ – KANYAGA MABOSI YANGA WATOA TAMKO LINGINE ZITO KWA AJIBU, SIMBA YATAJWA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply