Uncategorized

MRITHI WA NDAYIRAGIJE NDANI YA KMC HUYU HAPA

admin June 26, 2019 7:23 am

IMEELEZWA kuwa kocha mpya wa KMC atakayerithi mikoba ya kocha Etiene Ndayiragije ambaye ametimkia Azam FC ni Jackson Mayanja.

KMC kwa sasa wanatafuta Kocha Mkuu mwenye uzoefu na michuano ya kimataifa ambaye atakiongoza kikosi hicho ambacho kitashiriki michuano ya kombe la Shirikisho msimu huu.

Habari za ndani zimeeleza kuwa kwa sasa kila kitu kimekamilika na muda wowote atatangazwa kuwa kocha wa kikosi hicho.

BAADA YA SIKU 23, OKWI KUKINUKISHA SIMBA HAWA HAPA NYOTA WANNE WA YANGA KUJUA KAMA PANGA LITAWAHUSU WIKI HII

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply