Home Uncategorized HAWA HAPA NYOTA WANNE WA YANGA KUJUA KAMA PANGA LITAWAHUSU WIKI HII

HAWA HAPA NYOTA WANNE WA YANGA KUJUA KAMA PANGA LITAWAHUSU WIKI HII

UONGOZI wa Yanga umesema wiki hii utaweka hadharani majina ya wachezaji watakaoachwa ili kuwapa muda wa kujipanga.

Mpaka sasa bado kuna wachezaji ambao hawajua hatma yao ndani ya Yanga huenda wakajua mwisho wao kama watabaki ama kusepa mazima.

Wachezaji hao ni pamoja na

Anthony Matheo

Deus Kaseke

Haji Mwinyi

Mrisho Ngassa






SOMA NA HII  RATIBA YA LIGI KUU BARA RAUNDI YA PILI IPO NAMNA HII