Uncategorized

TUNDAMAN KUACHIA NGOMA SOON! “SIWEZI KUWATUNGIA WIMBO YANGA” – VIDEO

admin June 29, 2019 9:28 am

Msanii wa Bongo Fleva, Tundaman ambaye alikua golikipa wa Timu ya Bongo Fleva ambayo ilishuka dimbani kuminyana na Global FC nje kidogo ya Jijini la Dar es Salaam, Kibaha na Bongo Fleva kuibuka na ushindi wa matuta kwa mabao 5-3 amefunguka siri ya ushindi huo.

Tundaman amesema kwanza kudaka penalti ni kawaida yake na walipofikia kwenye hatua hiyo alijiweka kudaka penalti tatu hakufanikiwa na kufanikiwa kuzuia penalti mbili na hatimaye kuipa ubingwa Timu yake. Mechi ya kirafiki ambayo imechezwa katika uwanja wa Vikawe huko Kibaha.


TP MAZEMBE YAKUMBUSHIA DILI LA AJIBU TAIFA STARS AFCON, TUNAKICHEKA TUSICHOKIJUA LICHA YA KUWA CHA KWETU

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply