Uncategorized

PSG WATAJA DAU LA KUIKOMOA BARCELONA

admin June 30, 2019 1:40 pm


PARIS St. German (PSG) imewaambia Barcelona iwalipe mkwanja wa pauni milioni 197 sawa na sh.bilioni 573 ili wamwachie Neymar Jr.

PSG ililipa kiasi hicho cha fedha wakati ilipomyakua akitoka Barcelona mwaka 2017.

Imeelezwa kuwa Neymar kwa sasa hana furaha kubaki ndani ya kikosi hicho, hesabu zake ni kurejea Barcelona.

KUTOKA CAIRO, MSOME AMUNIKE HAPA KUHUSIANA NA MECHI YA KESHO DHIDI YA ALGERIA JKT TANZANIA YAMALIZANA NA NYOTA WAKALI SITA FASTA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6131

Leave a Reply