Uncategorized

#NimeisomaHii: Shinda jezi ya timu ya Taifa ya Tanzania

admin June 16, 2019 7:00 am

Tovuti yetu ina zaidi ya makala/uchambuzi na habari 1,000 za kuvutia, bila kusahau Msimamo, Wafungaji bora, Matokeo na Ratiba, tukielekea katika michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika tovuti itatoa jezi mbili za timu ya Taifa Tanzania, kwa kuanzia kwa Wanakandanda watakaokuwa wamesoma makala zetu na kutoa maoni yao wakitumia hashtagg #NimeisomaHii.

Nini ufanye?

Fungua habari au makala yoyote kupitia www.kandanda.co.tz, isome makala,habari au ratiba/matokeo.

Andika maoni yako ukitumia akaunti yako ya Facebook malizia na neno #NimeisomaHii (Mfano katika picha juu)

Nitashinda kivipi?

Toa maoni zaidi ukitumia  #NimeisomaHii na sambaza kwa marafiki.

Muda:

Kuanzia tarehe 16/06/2019 hadi tarehe 23/06/2019

 


*vigezo na masharti kuzingatiwa

Anza sasa: Hizi chini ni za hivi karibuni.

The post #NimeisomaHii: Shinda jezi ya timu ya Taifa ya Tanzania appeared first on Kandanda.

ORODHA KAMILI YA WACHEZAJI AMBAO WAMEMALIZANA NA SIMBA NA WALIPO KWA SASA YANGA YASAINI JEMBE LINGINE LA STARS

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply