Uncategorized
RAIS CAF AKAMATWA NA POLISI AKIWA HOTELINI
Rais wa Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) Ahmed Ahmed amekamatwa na Polisi wa kuzuia rushwa nchini Ufaransa.
Ahmad amekamatwa akiwa Hotelini Mjini Paris, Ahmed alikuwa kwenye hotel ambayo alikuwa akikaa wakati akihudhuria mkutano Mkuu wa FIFA.
Taarrifa zinasema kuwa inadaiwa Rais huyo anatuhumiwa kwa matumizi mabaya ya ofisi na Rushwa.

Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.