MWENYEKITI wa Bodi ya Udhamini Simba, Mohammed Dewji ‘Mo’ leo ameandika ujumbe mzito kwenye ukurasa wake wa twitter ambao umekuwa gumzo kwenye mitandao ya kijamii.
Mo ameandika kwamba : “Watu wenye nia mbaya. kazi yao ni kuvunja tu. Kaa nao mbali, narudia kaa nao mbali sana.