Uncategorized

HAJI MANARA APEWA JUKUMU JIPYA NDANI YA SIMBA

admin July 7, 2019 1:27 pm


UONGOZI wa Simba umesema kuwa umempa kazi maalumu Ofisa Habari wa kikosi hicho kabla ya siku ya Simba day ambayo ni maalumu kwa ajili ya kutambulisha wachezaji na jezi za Simba.


Mtendaji Mkuu wa Simba, Crescentius Magori amesema kuwa mpango wao ni kuona wanaifanya siku hiyo kiupekee.

“Simba day ya mwaka huu itakuwa tofauti na nyingine hivyo Haji Manara amepewa kazi maalumu kwa ajili ya kuandaa wimbo maalumu utakaotumika siku hiyo hivyo mashabiki waendelee kutupa sapoti,” amesema.
LIONEL MESSI HANA IMANI NA WAANDAAJI WA COPA AMERICA VIDEO: BONDIA MBONGO ALIYEPIGWA TKO AUSTRALIA AFUNGUKA A-Z

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6131

Leave a Reply