Uncategorized

NDANDA, KAGERA SUGAR ZAIKOMALIA MWADUI FC

admin July 9, 2019 12:08 am

KLABU za Mwadui FC, Kagera Sugar na Ndanda FC zipo vitani kwa ajili ya kupata saini ya kiungo Abdallah Seseme.

Kiungo huyo bado timu yake ya Mwadui inahitaji huduma yake hali inayofanya kuwe na mvutano mkubwa kuipata saini ya nyota huyo.

Kocha wa Kagera Sugar, Mecky Maxime amesema kuwa mpango mkubwa wa kikosi chake ni kuboresha kikosi na kukifanya kiwe cha ushindani.

“Hesabu kubwa kwa sasa ndani ya Kagera Sugar ni kusuka kikosi bora na chenye ushindani, mipango ikikamilika kila kitu kitakuwa wazi,” amesema.

MWANASIMBA AMWAGA POVU JUU YA MIGOGORO INAYOENDELEA – VIDEO MTIBWA SUGAR: HATUNA PRESHA NA VURUGU ZA SIMBA NA YANGA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply