Uncategorized

TANZANIA YAWALILIA WAANDISHI WATANO WALIOTANGULIA MBELE ZA HAKI KWA AJALI

admin July 9, 2019 2:23 pm

OFISA Mtendaji Mkuu wa Azam Media, Tido Mhando amesema kuwa ni ngumu kuamini juu ya safari ya wafanyakazi wenzake ambao wamefariki kwa ajali ila kazi ya Mungu haina makosa.

Jana wafanyakazi watano wa Azam Media Group walifariki baaada ya kupata ajali ya gari iliyotokea maeneo ya kati ya  Shelui (Mkoani Singida) na Igunga, Tabora.

Waliotangulia mbele za haki ni pamoja na Charles Wandwi, Florence Bitaliho, Said Hassan, Salum Mhando na Silvanus Mhando.

Leo wameagwa na kupumzishwa kwenye makazi yao ya milele na maelfu ya watu ambao wamejitokeza kwenye msiba huu ambao umegusa hisia za watanzania wengi.

HAYA NDIYO MAKOMBE 40 YA NYOTA WA TIMU YA TAIFA YA BRAZIL ALVES MAKATA ALIYEZIPANDISHA ALLIANCE FC NA POLISI TANZANIA APEWA TIMU YA DODOMA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply