Uncategorized

HARUNA NIYONZIMA WA SIMBA KUTIMKIA RWANDA

admin July 10, 2019 4:43 pm

HARUNA  Niyonzima kiungo mwenye uwezo wa kuchezea mpira uwanjani namna anavyotaka inaelezwa kuwa amejiunga na klabu ya AS Kigali ya Rwanda.

Niyonzima amejiunga na AS Kigali ambayo inashiriki michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika (Caf) amemaliza mkataba wake na Simba hivyo anajiunga akiwa mchezaji huru.

AS Kigali ni mabingwa wa FA nchini Rwanda, ataitumikia timu hiyo kwa kandarasi yake ya mwaka mmoja.

TANZIA: MWANDISHI WA HABARI ZA MICHEZO AFARIKI SHIKALO ATANGAZA SIKU YA KUTUA YANGA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply