Uncategorized

MGANGA HUKO BENIN AMTAKA MANE KUTOCHEZA MECHI YA LEO ILI KUEPUKA KIFO

admin July 10, 2019 8:43 am


Imeelezwa kuwa Mganga wa tiba za asili nchini Benin, Gwedu Sakala amemuonya mshambuliaji wa Liverpool na Senegal, Sadio Mane kutocheza mechi ya leo ya robo fainali ya Mataifa ya Afrika dhidi ya timu ya taifa ya Benin.

Mganga huyo amemuonya Mane akidai kuwa endapo akikaidi na akicheza mechi hiyo ataanguka na kufariki uwanjani.

Kauli ya Mganga huyo imeleta mshangao kwa wengi kutoka na uzito wa aina yake ambapo Sengal itakuwa inacheza dhidi ya Benin katika mchezo wa kwanza wa hatua ya robo fainali.

Mechi hiyo ya aina yake inatarajiwa kupigwa huko Misri majira ya saa 1 kamili za usiku kwa saa za Afrika Mashariki.

STRAIKA MPYA KMC AJA NA MKWARA KWA KAGERE OKWI ABWAGA MANYANGA SIMBA, ATIMKIA UARABUNI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply