Uncategorized

HOLDING WA ARSENAL MAJANGA, KUANZA AKIWA NJE MSIMU UJAO

admin July 12, 2019 1:51 pm


ROB Holding beki wa Arsenal anatarajiwa kukosa mechi za mwanzoni mwa msimu ujao kutokana na kuendelea kuuguza jeraha lake la goti alilolipata Desemba mwaka jana.

Holding msimu uliopita alikaa benchi kwa muda wa miezi mitano baada ya kuumia kwenye mchezo wao dhidi ya Manchester United pale Old Trafford.

Nyota huyo mwenye miaka 23 kwenye mechi 16 ambazo alikuwa uwanjani Arsenal haikupoteza hata mchezo mmoja.

SIMBA YAKUBALI KUPIGWA FAINI YA USAJILI HATMA YA AZAM FC KUTINGA ROBO FAINALI KAGAME MIKONONI MWA MUKURA FC

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply