Uncategorized

AJIBU AAMUA KUELEZA UKWELI, ATAJA SABABU ZA KUIPIGA CHINI TP MAZEMBE

admin July 14, 2019 1:05 pm


Mshambuliaji wa Simba Ibrahim Ajibu ameamua kueleza ukweli juu ya suala la kuikacha TP Mazembe.

Wakati akiwa Yanga Ajibu alikuwa anhitajika Mazembe lakini Simba walimuwahi na kumpa dili nono.

“Niliondoka simba kwa miaka miwili nimerejea nyumbani sikugombana na mtu ndiomaana nimerudi naangalia maisha yangu kuhusu kutokwenda Tp Mazembe.

“Simba walinipa maslahi mazuri zaidi huo ndio ukweli ninaoujua mimi,nawashukuru wanayangwa kwa kipindi nilichokuwa huko”, amesema.

WACHEZAJI YANGA WAPIGWA STOP KESI YA MALINZI NGOMA BADO MBICHI, UAMUZI WA KESI SASA JULAI 23

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply