Uncategorized

KABLA HATA YA LIGI KUANZA, MBRAZIL SIMBA AANZA NA YANGA

admin July 15, 2019 9:04 pm


Beki mpya wa Simba kutoka Brazil, Gerson Fraga amesema kuwa anatamani msimu mpya uanze haraka ili aoneshe kile alichonacho.

Akizungumza mara baada ya kutua nchini Afrika Kusini ambapo kikosi cha Simba kimeweka kambi maalum kujiandaa na msimu ujao, ameelezea matamanio yake ya kucheza Ligi Kuu Bara.

Fraga amefunguka kuwa anatamani zaidi pia kucheza mechi dhidi ya watani wao wa jadi Yanga baada ya kupata taarifa kuwa ndiyo wapinzani wakubwa wa Simba hapa nchini.

Aidha, Fraga amesema ni jambo kubwa kuwa na la furaha kwake kuwa na Simba huku akiwasifia mashabiki wa timu hiyo kwa namna walivyompokea.

JULIO ASHANGAA KOCHA SIMBA KUTOPEWA STARS, ATAJA SABABU HUYU DEO KANDA SI WA MCHEZO AISEE, TAZAMA MAKALI YAKE HAPA UJIONEE – VIDEO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply