Uncategorized

BEKI MUSTAFI SHKODRAN AGOMA KUSEPA ARSENAL

admin July 17, 2019 5:06 am


SHKODRAN Mustafi, beki wa Arsenal amesema kuwa hana mpango wa kusepa ndani ya kikosi hicho msimu ujao.

Mustafi amesema kuwa atabaki ndani ya kikosi hicho na kupambania namba ndani ya kikosi cha kwanza.

Licha ya kuwa ni miongoni mwa wachezaji wanaochukiwa ndani ya kikosi cha Arsenal kutokana na makosa yake mengi uwanjani.

Arsenal inakabiliwa na tatizo la beki kwani msimu ulipita iliruhusu kufungwa jumla ya mabao 51 kwenye mechi za Ligi Kuu England.

SIMBA KUCHEZA MECHI TATU ZA KIRAFIKI AFRIKA KUSINI SABA WA SIMBA KIKOSI CHA KWANZA KUTOLEWA KWA MKOPO KWENDA TIMU HIZI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply