Uncategorized

MASHABIKI WANAAMINI DEMBELE ATAPELEKWA NA GRIEZMANN LIVERPOOL

admin July 17, 2019 4:35 pm


MASHABIKI wa Liverpool wamebeba imani kwamba kusajiliwa kwa Antonie Griezmann kutawapa neema ya kumpata nyota wa kikosi cha Barcelona, Ousmane Dembele.

Barcelona waliweka mezani kitita cha pauni milioni 108 na kumsajili winga, Griezmann ingawa jambo hilo bado linapingwa na klabu yake ya Atletico Madrid.

Mashabiki wa Livepool wanaamini kuwa kitendo cha nyota huyo kutua Barcelona kitampa wakati mgumu wa kupata namba Dembele ndani ya kikosi hicho hivyo njia nyepesi ni kutimkia Liverpool ambao inaelezwa kuwa wanahitaji saini yake.

HUKU UNITED IKIMPIGA MTU 4-0, RASHFORD NA POGBA WACHEZAJI BORA WA MECHI MZEE KILOMONI WALA HAJAPOA, AJA NA TAMKO LINGINE ZITO JUU YA HATI SIMBA, MAGORI ATAJWA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply