Uncategorized

WATANO WAPEWA MKONO WA KWA HERI SIMBA

admin July 17, 2019 11:03 am



Ofisa Mtendaji Mkuu wa Simba, Crescentius Magori amesema kuwa tayari msimu ujao hawatakuwa na nyota wao watao ndani ya kikosi cha Simba.

Magori amesema wachezaji hao tayari wamemaliza kandarasi na Simba na wamewaambia kwamba hawatawapa  kandarasi mpya mpaka wakati mwingine.

Nyota ambao tayari wamemaliza mkataba ndani ya Simba ni pamoja na Haruna Niyonzima ambaye kwa sasa amepata timu mpya Rwanda, Emmanuel Okwi, Zana Coulibaly, James Kotei ambaye amejiunga na timu ya Kaizer Chief,Salim Mbonde.

NIGERIA WABABE KINOMA KWA TUNISIA, DAKIKA 90 ZITAAMUA LEO YANGA MAMBO SAFI, YAKAMILISHA VIBALI VYA MASTAA WAKE

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6131

Leave a Reply