Uncategorized

CAF YAIFANYIA MABADILIKO TAIFA STARS

admin July 18, 2019 9:06 pm


Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) katika kikao chake kilichokaa Julai 17,2019 kimefanya marekebisho ya michezo ya kufuzu Fainali za Afrika (AFCON) 2021.

Hatua ya awali kufuzu itachezwa kati ya Oktoba 7-15,2019 wakati michezo mingine itakua kati ya Novemba 11-19,2019.

Michezo inayofuata itachezwa kati ya Agosti 31, 2020 na Septemba 8, 2020 na hatua inayofuata kuchezwa kati ya Oktoba 3-15,2020.

Michezo ya kumalizia itachezwa kati ya Novemba 9-17,2020.

YANGA: SIMBA KWETU NI UNDER-DOG – VIDEO KOCHA SIMBA AIBUKA NA LAKE BAADA YA KASEJA KUITWA STARS

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply