Uncategorized

ALGERIA BINGWA MPYA WA AFRIKA, AMNYOOSHA SENEGAL KIDOGO TU

admin July 19, 2019 9:36 pm


BAGHDAD Bounedjah bao lake la dakika ya pili limetosha kuipa timu ya Algeria ubingwa wa Bara la frika kwa mwaka wa 2019 nchini Misri dhidi ya Senegal ambao hawajaambulia hata bao.

Algeria wanaibuka kifua mbele kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Senegal kwenye michuano iliyomalizika nchini Misri.

Hii inakuwa ni baada ya miaka 29 kupita hatimaye Algeria wanatawazwa kuwa mabingwa wa Afrika.

Mara ya kwanza kufanya hivyo ilikuwa mwaka 1990, wametwaa kombe hilo bila kupoteza mchezo hata mmoja.

JESHI KAMILI LA AZAM FC LEO NUSU FAINALI KAGAME, CHIRWA OUT NAMUNGO FC KUMCHOMOA MMOJA KUTOKA SIMBA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply