Uncategorized

BUNJU KUMENOGA, UWANJA WA SIMBA UMEFIKIA HATUA HII

admin July 20, 2019 12:11 pm


MAMBO yanazidi kuwa moto ndani ya Simba ambapo kwa sasa kazi ya uboreshaji wa uwanja wa Bunju inazidi kwenda kwa kasi.

Huu hapa ni muonekano wa uwanja wa Bunju ambao utatumika na Simba kwa ajili ya mazoezi.

 Kwa mujibu wa Ofisa Mtendaji wa Simba Crescentius Magori amesema kuwa uwanja huo utakamilika mapema kabla ya mwezi Oktoba.

KOCHA MDOGO AMPA KICHAPO KAKA YAKE NA KUTWAA KOMBE LA AFCON JESHI ZIMA LA SIMBA HILI HAPA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply