Uncategorized

UNITED WANAJIPIGIA TU, INTER MILAN LEO WAKIONA CHA MOTO

admin July 20, 2019 2:51 pm

MANCHESTER United leo imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Inter Milan mchezo wa kirafiki uliochezwa uwanja wa Taifa wa Singapore.
United imecheza mchezo wa kiushindani na mzuri na walikuwa wakitengeneza nafasi nyingi za wazi.
Mshambuliaji chipukizi Mason Greenwood amezidi kutakata baada ya kufunga bao pekee la ushindi leo.
Huu unakuwa mchezo wake wa pili kufunga kwani hata mchezo wake wa kwanza dhidi ya Leeds alipachika pia bao mshambuliaji huyo mwenye miaka 17.
BREAKING: MECHI NNE KALI ZA KIRAFIKI ZA SIMBA AFRIKA KUSINI YANGA MPYA YANGA ATAJA SIKU YA KUTUA BONGO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply