Uncategorized

KAZI IMEANZA MTIBWA SUGAR, WAINASA SAINI YA NYOTA WA TIMU YA TAIFA

admin July 21, 2019 1:02 am

MTIBWA Sugar wameanza kazi ya usajili msimu huu baada ya kuinasa saini ya kiungo mshambuliaji kutoka African Lyon, Awadh Salum.

Salum ni nyota pia ndani ya kikosi cha timu ya Taifa chini ya miaka 23 msimu ujao atakuwa ndani ya kikosi cha Mtibwa Sugar.

Huu ni usajili wa kwanza kwa Mtibwa Sugar ambao msimu uliopita walishiriki kombe la Shirikisho Afrika.

KASSIM KHAMIS, IDDY SULEIMAN WAMPA WAKATI MGUMU NYOTA AZAM FC KAGERA SUGAR: BADO TUPO SOKONI KUSAKA MAJEMBE

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply