Uncategorized

LIVERPOOL YAMKINGIA KIFUA MANE KUTIMKIA MADRID

admin July 21, 2019 9:37 am


SADIO Mane nyota wa Liverpool amekingiwa kifua na mabosi zake hao juu ya suala lake la kuhitajika na kikosi cha Real Madrid.

Mane ambaye ni nyota pia ndani ya kikosi cha timu ya Taifa cha Senegal ametupia jumla ya mabao matatu na alikosa penalti mbili kwenye michuano ya Afcon iliyomalizika nchini Misri, ilielezwa kuwa anahitajika na Madrid.

Liverpool imesema kuwa haijafanya mawasiliano yoyote na Real Madrid kuhusu Mane licha ya kwamba Rais wa Chama Cha Soka Senegal Saer Seck, kusema Madrid imewasilisha ofa.

AZAM FC WABABE WA WACONGO KAZINI LEO FAINALI NYOTA MPYA ANAYETAJWA KUWINDWA NA SIMBA ANAZIONEA NYAVU ZA WAPINZANI KINOMA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6131

Leave a Reply