Uncategorized

NYOTA MPYA ANAYETAJWA KUWINDWA NA SIMBA ANAZIONEA NYAVU ZA WAPINZANI KINOMA

admin July 21, 2019 10:32 am


JUSTIN Shonga mshambuliaji wa kikosi cha timu ya Orlando Pirates mwenye miaka 22 ni mkali wa kutupia akiwa ndani ya timu yake ya Taifa ya Zambia.


Rekodi zinaonyesha kuwa nyota huyo mwenye uzito wa kg 65 kwa mwaka 2017-18 amecheza jumla ya mechi 18 na amepachika jumla ya mabao 1 ndani ya timu ya Taifa.

Kwa sasa anatajwa kuwindwa na Simba ambao wamesema kuwa wamebakiza nafasi moja ya usajili msimu huu kabla ya dirisha kufungwa.

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Simba, Crescentius Magori amesema kuwa hawana presha na suala la kupigwa faini kwani wapo vizuri.

LIVERPOOL YAMKINGIA KIFUA MANE KUTIMKIA MADRID REAL MADRID YATAKA BALE ASEPE, ZINEDINE APEWA JUKUMU HILO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply