Uncategorized

REAL MADRID YATAKA BALE ASEPE, ZINEDINE APEWA JUKUMU HILO

admin July 21, 2019 10:57 am


MENEJA wa Real Madrid, Zinedine Zidane amesema kuwa hana tatizo na mchezaji wake Gareth Bale ila klabu inahitaji asepe ndani ya kikosi hicho ifikapo kesho.

“Tunamatuamaini anaweza kuondola ndani ya kikosi muda si mrefu na itakuwa furaha kwa kila mmoja ndani ya timu tunafanya kazi suala la uhamisho wake kwenda timu nyingine sasa.

“Sina tatizo naye binafsi ila ni lazima hili litokee kwa kuwa kuna wakati mambo yanatokea na ni lazima yatokee tu hamna namna.

“Natakiwa kufanya maamuzi na tunatakiwa kufanya mabadiliko lazima yatokee hata mchezaji mwenyewe anajua inaweza kuwa ndani ya masaa 12 ama 48 labda anaweza kuibukia Spurs itakuwa vema kwa kila mmoja.” amesema. 

NYOTA MPYA ANAYETAJWA KUWINDWA NA SIMBA ANAZIONEA NYAVU ZA WAPINZANI KINOMA HICHI NDICHO KILICHOWAFELISHA SENEGAL AFCON 2019

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply