Uncategorized

YANGA KIMATAIFA SAFARI YAO IMEKAA NAMNA HII

admin July 22, 2019 11:02 am

SAFARI ya Yanga kimataifa baada ya kushika nafasi ya pili kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara msimu uliopita wataanza na  timu ya Township Rollers ya Botswana.

Kwa mujibu wa ratiba, mechi za kwanza za raundi ya kwanza zitapigwa kati ya Agosti 9, 10 na 11 huku mechi za marudiano zikipigwa kati ya Agosti 23, 24 na 25.

Mechi za raundi ya pili zitapigwa kati ya Septemba 11, 13 na 14 na marudiano itakuwa ni kati ya Septemba 27. 28 na 29.

Endapo watapenya hatua ya awali watakutana na mshindi kati ya Green Mamba dhidi ya Zesco United.



SABABU YA AZAM FC KUKOSA UBINGWA WA KAGAME HII HAPA MABINGWA WA ZANZIBAR NAO KIMATAIFA WAPO HIVI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply