Home Uncategorized MABINGWA WA ZANZIBAR NAO KIMATAIFA WAPO HIVI

MABINGWA WA ZANZIBAR NAO KIMATAIFA WAPO HIVI

112
0


MABINGWA wa Ligi Visiwani Zanzibar, KMKM nao wana kibarua cha kukwea pipa kimataifa.

  KMKM wataanzia nyumbani dhidi ya Deportivo do 1 Agosto ya Angola kwenye Ligi ya Mabingwa.

 Malindi FC wao  wataanzia ugenini dhidi ya Mogadishu City ya Somalia kwenye Kombe la Shirikisho.