Uncategorized

MTIBWA SUGAR YAMALIZANA NA MAJEMBE MANNE FASTA

admin July 24, 2019 6:41 pm


KIUNGO wa zamani wa Simba na kikosi cha KMC amejiunga na timu yake ya zamani ya Mtibwa Sugar.

Humd alipigwa chini na uongozi wa KMC na kujiunga na Arusha United ya Ligi Daraja la kwanza na sasa msimu ujao atakuwa ndani ya Mtibwa Sugar,

Huyu anakuwa ni mchezaji wa nne kutangazwa na Mtibwa Sugar baada ya kuanza na Awadhi Juma wa African Lyon, Said Ndunda wa Ndanda, Mohamed Abdallah wa Singida United na leo Humud.

UMILIKI WA KLABU, DK MWAKYEMBE AMALIZA KABISA, SASA ASILIMIA 49 LAZIMA MWEKEZAJI ZAIDI YA MMOJA NYOTA STARS AENGULIWA MOJAKWAMOJA KAMBINI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6131

Leave a Reply