Uncategorized

BREAKING: MZEE KILOMONI AKAMATWA WAKATI AKIFANYA MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI

admin July 25, 2019 9:56 am


POLISI wamezuia mkutano ambao ulipaswa ufanyike leo na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa klabu ya Simba, Hamis Kilomoni.


Mkutano huo ulipangwa kufanyika majira ya saa 5:00 asubuhi nyumbani kwa Mzee Kilomoni, (Block 41 pembeni ya Shule ya Msingi Kumbukumbu).

Tayari Mzee Kilomoni alikuwa amejiandaa kuongea pamoja na waandishi wa Habari za Michezo kabla ya Polisi kuingia na kumuomba aelekee kituoni kwa kuwa hakuwa na kibali cha kufanya mkutano huo.
MAANDALIZI STARS YAPAMBA MOTO, AJIBU, MANULA, NYONI NDANI YA KIKOSI KUKAMATWA KWA MZEE KILOMONI KWAWA GUMZO…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply