Uncategorized

UNITED SASA WASHINDWE WENYEWE KWA KIUNGO WA KEIZER

admin July 25, 2019 10:16 am


MENEJA wa Sporting CP, Marcel Keizer amesema kuwa mchezaji wake Bruno Fernandez anaweza kujiunga na Manchester United.

Kiungo huyo alikuwa kwenye rada za United kabla ya Keizer kusema kuwa hawezi kumuachia kwa kuwa yupo kwenye mipango yake.

“Kila mmoja angependa abakie ndani ya timu kutokana na uwezo wake na msaada anaoutoa ndani ya timu ila kwa sasa hatujui kitakachotokea mbele ni jambo la kusibiri na kuona,” amesema.

Dau la nyota huyo linatajwa kuwa pauni milioni 62 hivyo United wakiweka mezani wanampata kiungo huyo, ambaye amefunga mabao 20 katika mechi 30 za mashindano yote na kutoa assit 13.

KUKAMATWA KWA MZEE KILOMONI KWAWA GUMZO… BREAKING NEWS: KILOMONI “NINJA” AACHIWA NA POLISI NA KUENDELEA NA MKUTANO WA WAANDISHI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply