Uncategorized

KOCHA YANGA ATAJA SIKU YA KURUDI BONGO

admin July 26, 2019 6:31 am

MWINYI Zahera Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa ameskia juu ya suala la wachezaji wake kugoma kujiunga na kambi kwa kutolipwa mshahara pamoja na yeye kugomea kurejea Bongo jambo ambalo halina ukweli.

Zahera bado hajajiunga na timu kambini Morogoro na amesema kuwa anarejea muda wowote kuanzia sasa.

“Naskia kwamba naidai timu ya Yanga, hakuna ukweli siidai hata elfu moja timu ya Yanga na kwa sasa nipo likizo nikimaliza likizo yangu nitarejea muda wowote kuanzia sasa,” amesema.

Yanga imeweka kambi Morogoro kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao na inafanya kazi chini ya kocha msaidizi Noel Mwandila.

WAGENI 100 WAIGOMBANIA NAFASI YA AMMUNIKE, WAZAWA WAICHUNIA BREAKING: BOCCO ATEULIWA KUWA NAHODHA WA TIMU YA TAIFA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply