Uncategorized

NAHODHA STARS: TUNAPENYA LEO MBELE YA KENYA, MASHABIKI MTUPE SAPOTI

admin July 27, 2019 11:33 pm


JOHN Bocco nahodha wa timu ya Taifa ya Tanzania amesema kuwa leo watapambana kuipeperusha Bendera ya Taifa mbele ya Kenya ili kupata matokeo chanya.

Taifa Stas leo inakibarua mbele ya timu ya Taifa ya Kenya ‘Harambee Stars’ kwenye mchezo wa kuwania tiketi ya kufuzu michuano ya Chan itakayofanyika nchini Cameroon mwaka 2020 utakaochezwa uwanja wa Taifa.

Bocco amesema:” Wachezaji wote tupo vizuri na kila mmoja anajua kwamba jukumu letu ni kutafuta matokeo chanya, mashabiki tunawaomba mjitokeze kwa wingi kutupa sapoti,”.

YANGA YATAKA MAJEMBE HAYA MAWILI, MMOJA KUMCHOMOA KUTOKA SIMBA JUMA BALINYA, SIBOMANA NA KIPA WA KENYA KUTOA ZAWADI YA NGUVU LEO MOROGORO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply