Uncategorized

JUMA BALINYA, SIBOMANA NA KIPA WA KENYA KUTOA ZAWADI YA NGUVU LEO MOROGORO

admin July 28, 2019 12:35 am

NYOTA wote wakali ndani ya Yanga leo kuonyesha maajabu bure uwanja wa Jamhuri Morogoro kwenye mchezo wa kukata na shoka wa kirafiki kati ya Yanga na Mawenzi Market.

Mchezo huu wa kipekee ambao ni maalumu kwa ajili ya maandalizi ya ligi msimu ujao utashuhudia mambo mengi ikiwa ni pamoja na zawadi za kutoksha kutoka kwa waandaaji ambao ni Faith Baptist Church (FBC).

Upekee wa mchezo wa leo ni kwamba baada ya kipindi cha kwanza muda wa mapumziko kutakuwa na neno la Mungu pamoja na zawadi ya vitabu ambavyo vitagawiwa bure na hakutakuwa na kiingilio pia kushuhuida mchezo wa leo.

Nyota wakali kama Mrisho Ngassa, Juma Balinya, Farouk Shikalo, Patrick Sibomana bila kumsahau nahodha Papy Tshishimbi wote watakuwa ndani ya uwanja kutoa zawadi ya burudani ya kukata na shoka bure kwa mashabiki.

NAHODHA STARS: TUNAPENYA LEO MBELE YA KENYA, MASHABIKI MTUPE SAPOTI SIMBA YAWEKA MEZANI MILIONI 10 KWA AJILI YA KELVIN YONDAN, METACHA MNATA, JUMA KASEJA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply