Uncategorized

SPURS WAMTAKA NYOTA WA JUVENTUS

admin July 27, 2019 6:40 am

PAULO Dyabala mshambuliaji wa Juventus amewekewa kwenye hesabu na klabu ya Totthenham ambayo inataka kuipata saini ya nyota huyo raia wa Argentina.

Juventus ipo tayari kumuachia nyota huyo na inahitaji dau la pauni milioni 80 ili waongeze nguvu kwenye kikosi chao.

Inaelezwa kuwa baada ya Juventus kumsajili Cristiano Ronaldo kutoka Real Madrid nyota huyo alianza kuomba kusepa ndani ya kikosi hicho.

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMAMOSI KOCHA STARS: MAJEMBE YA KAZI YAPO SAWA, AWAPA TANO NYOTA WA SIMBA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply