Uncategorized

YANGA WAZIDI KUNOGA WAMALIZA KAZI NA MAWEZI MARKET KWA KUICHAPA BAO 1-0

admin July 28, 2019 3:50 pm

ISSA Bigirimana mshambuliaji wa Yanga leo ameibuka shujaa wa mchezo wa kirafiki kati ya Yanga na Mawezi Market baada ya kufunga bao pekee la ushindi lililodumu mpaka mwisho wa mchezo.


Mchezo huu wa kirafiki umechezwa leo uwanja wa Jamhuri na ubao wa matokeo umesoma Yanga 1-0 Mawezi Market.

Huu unakuwa mchezo wa tano kwa Yanga kucheza na yote wameshinda na leo walikuwa na kocha wao Mkuu Mwinyi Zahera ambaye tayari amesharejea nchini.
STARS SASA KAZI KUHAMIA KENYA KUTAFUTA NAFASI YA KUFUZU CHAN VIDEO: LIVE MAKOCHA WAKIZUNGUMZA UWANJA WA TAIFA BAADA YA MCHEZO WA TANZANIA NA KENYA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply