Uncategorized

AZAM FC: TUPO TAYARI KWA LIGI MSIMU UJAO

admin July 29, 2019 5:39 pm

UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa upo tayari kwa ushindani kwa ajili ya msimu ujao unaotarajiwa kuanza Agosti 23.

Akizungumza na Saleh Jembe, Ofisa Habari wa Azam FC, Jaffary Maganga amesema kuwa tayari wameanza maandalizi kwa ajili ya msimu ujao.

“Tayari kikosi kimeanza maandalizi kwa ajili ya msimu ujao na tunajua kwamba ushindani ni mkubwa, hivyo nasi tunajipanga” amesema .

Azam FC itaanza msimu ikiwa na kocha mpya ambaye ni Ettiene Ndayiragije aliyekuwa KMC msimu uliopita.

WATU WAENDELEA KUCHOTA MKWANJA NDANI YA SPORTPEA, CHALII AONDOKA NA MILIONI 6 NA USHEE RATIBA YA SPORTPESA SIMBA WIKI IPO NAMNA HII

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply